Kutoka facebook muda huu Acc ya Adam Mchomvu imepost hivi nanukuu " Picha za uchi alizopiga Lady Jay D bofya hapa" then akaweka link, ambayo binafsi sijaielewa na  sikuona umuhimu wa kuifungua.
 Account hii inayotumia jina la Adam Mchomvu sijajua kama ni yake ama fake ..
Na kama ni  yake sijajua kama  wame hack wakaandika au ameandika yeye mwenyewe

COMMENT ZA WADAU:


LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment