CHECK OUT PICHA ZA OMMY DIMPOZ AKISHUHUDIA MECHI KATI YA BARCELONA NA REAL BETIS NCHINI UINGEREZA Mkali wa Bongo Flava Ommy Dimpoz aliyepo ziarani barani Ulaya, jana ameishuhudia live uwanjani mechi ya Barcelona na Real Betis kwenye uwanja wa Nou Camp wa Barcelona. Katika mtanange huo, Barcelona ilishinda kwa bao 4-2. TUPE MAONI YAKO HAPA: LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI
0 comments:
Post a Comment