CHECK OUT PICHA ZA STEVE R&B AKILA BATA SEHEMU MBALIMBALI UGHAIBUNI Steve RnB ni mmoja wa wasanii ambae ametembea sana Europe mwaka huu. Mpaka sasa hivi ametembelea nchi sita :Germany ,Austria ,Belgium ,Holland, United Kingdom,na Turkey. TUPE MAONI YAKO HAPA: LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI
0 comments:
Post a Comment