https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgLiOm_yXk2EQ26VkozO6zIRw1fkyRpmQSy0NeYlcDSaD3OhY-M_DksV_nDmKoe_h642xRR9RdkzGxgFMOvnYL2cGk-HCSYuFVvxaXhdShWRxmpzcJXNxA1gpSWdEQ0Lm1esEhHKaBTa4A/s640/MKONO+ULIO+UNGUZWA.JPG

 Mtoto Fikili Hausi Mwanafunzi wa Darasa la Tatu Shule ya Msingi ya Majengo Mansipaa ya Songea akiwa amelazwa Hospitali ya Mkoa baada ya Kunguzwa Moto na Mama yake .Jeshi la Police lina endelea kumtafuta mama yake Fikili Hausi 
Msomaji hebu angalia Jamii ya watanzania kila siku ina fanya makongamano ya kuzuia vitendo vya ukatili dhidi ya watoto na mama. Je kitendo hiki sisi watanzania tunaenda wapi ?Masikini mtoto anaonekana kama amelala lakini hayo ni maumivu kiasi hataki hata kuongea na mtu.Kila mmoja pale alipo ajalibu kuzuia vitendo hivi.

LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment