Twitter za Zitto Kabwe Akimshawishi Mtanzania Adam Nditi Anaye Cheza Mpira Chelsea Aje Kuchezea Team ya Taifa MAELEZO YA NDITI Adam Nditi @Adam_Nditi @zittokabwe ninahamu ya kuja kuchezea taifa stars ila kwanza nataka nipate experience SWALI Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe 6 May @Adam_Nditi salaam Adam, lini utajiunga #TaifaStars ? JIBU Adam Nditi @Adam_Nditi 8 May @zittokabwe halafu hatakama nikija niwe na uwezo wa kusaidia timu kama nitaitwa kwasababu ninahamu ya kuja kuichezea taifa starsZITTO KABWE AKASEMA Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe 8 May @Adam_Nditi ninakushauri ushiriki nasi katika kampeni ya #twendeBrazil #TzBrazil2014 maana lazima tupate kila talent ya Tanzania Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe 8 May @Adam_Nditi nakutakia Kila la kheri katika juhudi zako. Bidii na uhodari vinalipa sana TUPE MAONI YAKO HAPA: LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI
0 comments:
Post a Comment