Almanusura baadhi ya wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania warushiane makonde bungeni, hali iliyomlazimu naibu spika wa bunge hilo Mh Job Ndugai kuliahirisha bunge isivyo utaratibu na kuamuru kamati ya maadili ya bunge kukutana huku baadhi ya waheshimiwa wakitupiana maneno ya kashfa pamoja na matusi


Tazama video hiyo hapa chini:

 

LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment