Wazo la leo 1. Hata uwe kipa imara kiasi gani, huwezi daka #TigoRushaHata simu yako iwe na credit kiasi gani, haiwezi kuchaguliwa kwenda form five .Hata uwe kinyozi mzuri na bora kiasi gani, huwezi kunyoa kichwa cha habari!Hata Nyassa na Victoria ni maziwa, lakini hayavalishwi sidiria! TUPE MAONI YAKO HAPA: LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI
0 comments:
Post a Comment