Napenda nitoe pole za dhati kabisa kwa binti huyu
mdogo,aliyepata majeraha usoni wakati akijaribu kupata nafasi ya
kunishuhudia..yote ni kutokana na msongamano mkubwa wa watu uliokuwepo..
NAWAPENDA MASHABIKI WANGU..NAWAPENDA SANA WATOTO WOTE
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment