diamond-vs-barnaba-post
Amini usiami kuwa Elias Barnaba ni mwana muziki bora wakiume katika game ya muziki wa kibongo a.k.a “Bongo flavor” Msanii huyo alianza kufanya muziki mnamo mwaka 2000 alipo pata insiparation katika mafunzo aliyo  pata church Alimua kujiunga na THT pindi alipokuwa na umri wa miaka kumi
(17).

Due to the love of game Elias Barnaba alijikuta akipiga gitaa na piano na kufanikiwa kutoa ngoma yake ya kwanza iliyo enda kwa jina la Baby I love you .But it was bad luck kwa ngoma hiyo haikuweza kufanya vizuri. Despite of the challenges mwisho wasiku Njiapanda ikamweka kwenye ramani ya muziki wa kibongo na fan kuelewa nini Elias anafanya,That was proved pale alipo nyakuwa tuzo ya mwana muziki bora wa kiume wa mwaka 2012. Barnaba ni full package mwenye hati nzuri ya uandishi,kupiga gitaa na piano. Unfortunately  Diamond Platinum ndio mwana muziki mwenye mafanikio makubwa katika muziki wa bongo fleva,Mfalme huyo wa bongo fleva anae tumika katika mikataba mikubwa tofauti tofauti na kampuni kubwa kama Cocacola ,Vodacom,Ring Back Tone( RBT) napia akiwaacha wasanii wenzake mbali kimafanikio ya biashara ya muziki.
Therefore, one can conclude that “ Diamond ni mfanyabiashara bora wa muziki, na Barnaba ni mwanamuziki bora”
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment