KWELI FILAMU ZA BONGO NI HATARI TUPU.SIJUI WANAFUNDISHA NINI WATOTO WETU. Hakika tasnia ya filamu kwa hapa bongo na hata baadhi ya nchi za Afrika zimekuwa zikipotosha na kuharibu jamii zetu hasa vijana.Kwenye moja kati ya filamu ambazo inategemewa kutoka hivi karibuni hizi ni baadhi ya shots TUPE MAONI YAKO HAPA: LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI
0 comments:
Post a Comment