Msanii  mkongwe  wa  mziki  nchini  Tanzania  maarufu  kwa  jina  la  Mr. Nice  amepata  shavu  jipya  la  kufanya  filamu  moja  na  kampuni  ya  VAD Film Production ambayo   ni  kampuni  ya  kiafrika  maarufu  kwa  ajili  ya  waafrika wanaoishi nchini Denmark wakiwa wamejikita katika utengenezaji wa filamu kwa kutumia Lugha ya Kiswahili...

 
 
 
 Hapa  akiwa na maojiano na dada Rehema wa Swahili Talk Radio- Denmark


TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment