Msanii wa Nigeria aitwaye Maheeda anafahamika kwa tabia yake ya kupost picha za nusu utupu kwenye mitandao ya kijamii. Katika kusherehekea sikukuu ya Christmas, mrembo huyo ameamua kutoka kitofauti kwa kufanya kile akipendacho akiwa na mavazi yenye alama za sikukuu hiyo kubwa ya mwaka.
TUPE MAONI YAKO HAPA: