Menu
BongoNews
Menu
  • HOME
  • Mapenzi
  • Darasa la mapenzi
  • Udaku wa nje
  • Wasanii
  • Matukio
  • Kitaifa
  • Kimataifa
  • Siasa
  • Michezo
  • Music
Home » KALI ZA LEO » UDAKU WA NJE » VILIO KWA MABINTI BAADA JUSTIN BIEBER KUTOA KAULI HII.... SOMA HAPA!

VILIO KWA MABINTI BAADA JUSTIN BIEBER KUTOA KAULI HII.... SOMA HAPA!


Justin Bieber amedai anastaafu muziki.

Kwenye tangazo ambalo bila shaka litasababisha machozi kwa wasichana wengi duniani, Bieber mwenye miaka 19 sasa amesema anatarajia kuachana na muziki baada ya kuachia albam yake itakayotoka wiki ijayo, Journals na anaweza kuacha ‘mazima’.
Mkali huyo na kipenzi cha wasichana duniani alitoa kauli hiyo kwenye mahojiano na kituo cha radio cha Power 106 cha Los Angeles, California, jana Jumanne: ‘Baada ya albam mpya, kweli ninastaafu. Ninastaafu. I’m retiring.’
‘Nataka kukua kama msanii na natoka nje kidogo, nataka muziki wangu ukue’


Why do so many gals love Justin Bieber?


TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI
1:00 AM
Unknown
KALI ZA LEO, UDAKU WA NJE
Next
Newer Post
Previous
Older Post

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

KUMI KALI ZA WIKI

  • Kukojoa kwa mwanamke ndo kukoje?
    " Mimi ni mwanamke wa miaka 30 tatizo kubwa linalonitatiza ni kuwa wakati wa kufanya mapenzi na mr. Nitajuaje kama nami pia nimekojoa...
  • Breaking newzzz : Mtwara kumekucha- mabomu yarindima
      Mabomu yanapigwa mfululizo maeneo ya Magomeni-Mtwara . Takriban mabomu 20 na ushee mpaka sasa. Na wanaendelea kupiga mabomu. Sasa hali ...
  • Ndani ya Dar Live siku ya show; Diamond ampa short course Ney jinsi kumkiss demu wake.
    U May kiss the bride...hahaha LOL.... Napenda kurudisha shukrani za pekee kwa mwenyezi mungu kwa siku  ya jumamosi na siku zote za uhai wan...
  • HOUSEBOY: MTOTO WA BOSI ANATAKA TENA NA TENA BAADA YA KUMWONJESHA MAPENZI!!!
    Ilikuwa siku ya Jumapili usiku Mama na Baba mwenye nyumba walipokuwa wamesafiri kwenda kijijini kwao kuwasalimia wazazi wao! Hapa nyumbani t...
  • ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO AENDELEA VIZURI AOMBA MSAADA..
    Mapacha wanne wa Aida Nakawala. Aida Nakawala 25 mkazi wa kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni alijifungua wa...
  • GIZA NENE LATANDA NDANI YA CHAMA CHA CHADEMA , Mjumbe wa Kamati Kuu apigwa
    Giza nene limeendelea kutanda ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya juzi kulazimika kuongeza muda wa kikao c...
  • KWA STAILI HII KWELI KUSAGANA KWA WASICHANA KUTAISHAA..???
    Yani ni katika Bonge la patiiiiiiiii... PICHA ZAIDI BOFYA HAPA CHINI         <<PICHA>>
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

CELEBRATES

  • Agness masogange
  • Alikiba
  • Aunt ezekiel
  • Ay
  • BOB JUNIOR
  • Baby madaha
  • Barnaba
  • Diamond
  • Diva
  • Flora Lyimo
  • HABARI ZA KIMATAIFA
  • Huddah
  • Jacqueline Wolper
  • Jb
  • Jokate
  • KITAIFA
  • Kajala
  • LOVE CORNER
  • Lady jaydee
  • Lulu
  • MAPENZI
  • MATUKIO
  • MICHEZO
  • Madee
  • Mwana Fa
  • Ney Wa Mitego
  • Ommy dimpoz
  • Ostaz Juma
  • Prezzo
  • Professor Jay
  • Ray c
  • Rich mavoko
  • SIASA
  • Shilole
  • Sinta
  • Snura
  • Sugu
  • UDAKU
  • UDAKU WA NJE
  • WASANII
  • Wema
  • Zitto
  • fumanizi
  • linah
  • uwoya
 
BongoNews © 2014. All Rights Reserved.