Nasikia masista duu na warembo wengi ndio washirikina wakubwa wa mambo ya kiganga na dawa za mapenzi ukilinganisha na wasichana wenye sura za kawaida.
Pia utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa wanawake warembo ndio wanaoongoza kwa kugombea mabwana kulinganisha na wale wasio na sura zenye wingi wa madoido!
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment