Heshima kwenu wadau?

Nina rafiki Yangu wa kike tumedumu mwaka 1 na ninakaribia kumtangazia Nia but nasita sita kila nikiangalia baadhi ya mambo

1:familia anayotoka haina uelewano kuanzia yeye na ndugu zake kila siku mgogoro

2.wazazi wake wameachana mud a mrefu nahisi nae anaweza asidumu kwenye ndoa kama wazazi wake

3. Past take so nzuri list ya x ni ya kutosha

He nipo sahihi kumuoa huyu mdada maana kumpenda nampenda sana

TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment