Tukutane Machi 2 Wembley: Sunderland wakiwashukuru mashabiki wao 9,000 waliofika uwanjani kuwashangilia na kuwaomba wakutane Wembley katika fainali na Manchester City.Manchester imetupwa nje ya mashindano hayo kwa mikwaju ya penalti baada ya matokeo ya awali kuwa sare ya 3-3 na Sunderland kushinda kwa penalti 2-1.
Baada ya matokeo hayo, Sunderland inayoshika nafasi ya pili kutoka mkiani ikiwa na pointi 18 juu ya Cardiff City katika Ligi Kuu ya England, itakutana na Manchester City Machi 2 mwaka huu katika fainali itakayopigwa uwanja wa Wembley.
TUPE MAONI YAKO HAPA:



0 comments:
Post a Comment