Mtumiaji wa faceboo mkongwe kuliko wote, bibi Edythe Kirchmaier, leo ametimiaza miaka 106. Kirchmaier alifungua account ya fb mwaka 2013,akiwa na miaka 105 na alisaidiwa na rafiki yake.

Bibi huyo wakati wa kusajili aliingiza mwaka wa kuzaliwa 1908. Ilichukua takribani ya mwenzi mmoja kwa wataalamu wa mtandao( site’s engineers) kumpitisha kwani ni kitu ambacho hawajawahi kukutana nacho toka Facebook ianze.
Kirchmaier ana marafiki zaidi ya 45,000 kwenye kurasa yake malumu ya facebook na likes kama 105,000.
Kirchmaier ana marafiki zaidi ya 45,000 kwenye kurasa yake malumu ya facebook na likes kama 105,000.
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment