Na Shumba Msitu
WAKATI maelfu ya wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakijitokeza kwa wingi katika ufukwe maarufu wa Coco kwa ajili ya kujiliwaza, imegundulika kuwa vibanda vinavyojengwa kwa ajili ya kuhifadhi nguo za wanaoingia majini kuogelea, hutumika pia kwa kufanyia ngono kwa malipo.credt: xdejayz
TUPE MAONI YAKO HAPA:

0 comments:
Post a Comment