Katika tovuti ya Diamond ameamua kushare picha na mashabiki wake jinsi alivyokutana na Waziri Bernard Membe na kualikwa kula chakula cha usiku pamoja na kupata mawili matatu ya kuzungumza na waziri huyo

mwenyezi Mungu Kwa kutupa uhai na nguvu
 ya Kuweza kufanya maonyesho yetu mjin
 Mtwara na Lind kwa mafanikio makubwa. 
Siwez sahau kuwashukuru wananchi kwa sapoti kubwa waliyotupatia..lakin
 shukran za dhati kabisa.

Nizifikishe kwa waziri wetu mpendwa
 mheshimiwa, Bernad Membe kwa kutambua
 mziki wetu na mchango wetu katika jamii . Ambapo alinipa
 heshima ya kujumuika na Kula chakula
 cha pamoja Na mwisho kufanya 
mazungumzo..kikubwa Tulizungumzia
 mziki wetu na mchango wake na jinsi gani Ya kuukwamua na 
kuupeleka level tunayoiota kila siku. Kuufanya
 mziki wetu utambulike kimataifa Na utangaze nchi yetu.
kikao hicho pia kilihudhuriwa na naibu,waziri wa Elim,Philp 
Mulugo na mkuu wa mkoa Lindi 
Mida ya chakula,waziri Mulugo akinieleza jambo
Mheshimiwa Membe


Tukiteta jambo na Ndugu yangu,Romy Jons

Huniambii kitu kuhusu matunda
Mheshimiwa MEmbe akizungumza


Nikimsikilkiza mkuu wa mkoa Lindi

Mkuu wa mkoa wa Lindi akizungumza
Mazungumzo yakiendelea




Nikisisitiza jambo kuhusu mziki wetu



Waziri Mulugo akizungumza
Baaada ya kikao niukizungumza jambo na Waziri 
Membe,alinipatia ushauri mzuri sana kuhusu maendeleo ya mziki wangu
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

1 comments: