Na mara nyingi Mwanaume asipo push matumizi ya condom Msichana hawezi kupush yeye,,, Wanapenda sana kuaminiana kirahisi rahisi na kikubwa wanachojali ni Mimba tu so wakiona wapo kwenye safe days wanaona wapo Safe kwa kila kitu..


Mwanzo nilijua ni baadhi tu but katika stories na jamaa zangu wengi wamekutana na hicho kitu na kila mmoja anaeleza kuwa her Girlfriend hapendi Condom kisa Zinawaumiza...

Na hii ipo sehem nyingi sana na sana..

Hii hali inatisha kama Ukweli Ukimwi utaisha kwa situation kama hizi...


Ndio maana kuna Mdau mmoja anapenda kusema Kupata HIV ni sign of Unlucky to you as people are not descent as they pretend to be when it comes to Sex/love making issues although they are negative...


Wadada naomba Mtupe majibu ya ukweli na uwazi