Mchezaji huyu mwenye miaka 29 sasa na baba wa mtoto mmojs haina shaka kwamba yeye  ni mmoja kati ya wachezaji matajiro Duniani.

Emmanuel Adebayor ambaye ana kila sababu ya kushukururu alinukuliwa kwenye mahojiano akisema...

"Familia yangu ilikuwa ikiniita mimi ni takataka kabla sijawa na mafanikio"

Alishea picha za magari yake, ndege, majumba ambazo zipo kwenye nchi mbalimbali kama Togo, Ghana, UK na US.

Cheki picha zaidi hapo chini...


















TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment