Hizi ni pesa ambazo zilikuwa bado hazija hesabiwa na zilikuwa zimekadiliwa kuwa Dola Bilioni 18 na baada ya kuhesabiwa zilifikia zaidi ya Dola Bilioni 22.Katika hali ya kushangaza sana Mtu mmoja ambaye ni Muuza madawa ya Kulevya amekamatwa nyumbani kwake na zaidi ya Dola Bilioni 22 Pesa ambazo zilikuwa zinatosha kabisa kwa ajili ya kulipia huduma ya afya kwa ajili ya wanawake na wanaume wote USA kwa muda wa miaka 12.
 Walioingia katika ukamataji huo walikuwa wamejipanga vilivyo. Inasemekana ya kwamba sio hiyo nyumba tu ambayo inahusika na hayo maswala ya madawa ya kulevya bali kuna zengine 27 zaidi ambazo zinafanya mambo haya na Dunia nzima kwa ujumla.Kwa sababu hii ni ngumu sana kupigana na Biashara Haramu ya Madawa ya kulevya Duniani kote
  
Hiki ni kieneo kidogo tuu cha hizi siraha nzito ambazo walikuwa wanazitumia jamaa hawa wauza madawa ya kulevya.
 
 Hizi ni Bastora ambazo zimetengenezwa kwa Dhahabu pekee.
 Licha ya kukamatwa na Mabilion ya Dola  katika nyumba hiyo lakini pia kumekutwa vitu vingi zaidi ikiwa na Siraha za moto za hatari za kivita, Machine Guns, pamoja na Bastora za Dhahabu, vitu vyenye Thamani kubwa pamoja na vingine nje ya madawa ambavyo viliibiwa kutoka maeneo mbalimbali.
 

Pisto 61 zilikamatwa zikiwa na dhahabu kabisa na zengine zikiwa zina mapambo ya dhahabu
 Hii ni Moja ya Bastola iliyokuwa na urembo wenye picha ya mfano wa 'Mesiah' pia zilikutwa za kutosha tuu



 

Hii nayo ilikuwa imezungushiwa Dhahabu 



 

 Jamaa alikuwa amejipanga sana hapa akiwa na eneo maalum la historia ambapo ameweka Aina mbalimbali za Bastora nyingi zikiwa na dhahabu 

 
 Hii ni nyumba ya kifahari ambapo mambo mengi yamenunuliwa kutokana na Bishara ya Madawa

 Kwa kiburi cha pesa zake jamaa ametengeneza Pango lake binafsi


 Hii ni sehemu ya kulia maisha
 
 
 Haya ni baadhi ya Maurembo ambayo mengi ni ya wizi  

 
 Hizi ni siraha nyingi zaidi ambazo huwezi tegemea


 
 Bunduki na pesa zaidi zilizo kamatwa

 
 

Pesa zaidi zikiwa zimekamatwa toka mafichoni! 

 
 Begi hili likiwa limesheheni noti za Dola 100 zilikuwa na zaidi ya dola milioni moja

 Zaidi ya begi 18 ndogo ndogo kama hizi zilikamatwa 
 
 
Pesa zaidi


 Hizi Ni Million Dollars zengine zilizo kamatwa 


 Baadhi ya bidhaa za kichina zenye Thamani kubwa zikiwa zimekamatwa


 Hizi ni Machine Guns pamoja na Bastola zilizo kamatwa zikiwa zimeundwa kwa Dhahabu
 Lakini vyote vimechomwa moto
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment