PICHA YA LULU NA STAA WA MOVIE NIGERIA YAZUA MANENO MENGI NCHINI TANZANIA Lulu na mnaiGeger. Waigizaji hao, hii ni picha ambayo lulu amepiga hivi karibuni na kuzua gumzo miongoni mwa wapenzi watasnia ya filamu hapa nchini,, picha hii ina mwonyesha lulu kuwa mwenye furaha na anaonekana alienjoy pozi hilo na msanii huyo. TUPE MAONI YAKO HAPA: LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI
0 comments:
Post a Comment