Hii ni mara baada ya siku kadhaa za gumzo lililotawala jiji lililotokana na kitendo cha Ustaaz kuweka picha na video iliyoonyesha PNC akiwa anamuomba msamaha kwenye mitandao ya kijamii.
Kwenye ujumbe mfupi alioutumu kwetu PNC aliandika, "kaka kuanzia sasa nasmama kama mimi sna meneja nimeelewa ushauri wenu, basi ntaishi maisha yoyote hata nikikwama," aliandika PNC.
TUPE MAONI YAKO HAPA:

0 comments:
Post a Comment