Hawa jamaaa walikutwa mchana kweupe wamezima kwa kunywa Pombe nyingi na kuzidiwa..

Muda huo wa mchana walitakiwa wawe kazini wakijenga Taifa lakini wao mi mitungi kwenda mbele ....Je unafikiri kuna haja ya Serekali kupiga marufuku unywaji wa Pombe mchana kama walivyofanya
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment