MKALI wa sinema za Kibongo, Riyama Ally amesema, uzazi umesababisha mwili wake kuwa tipwatipwa lakini sasa ameshaanza mazoezi gym yenye lengo la kupunguza mwili ili arejeshe mwonekano wake wa awali.
Akichonga na Stori Mix, hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Riyama alisema unene wake umesababishwa na maakuli ya kufa mtu aliyokuwa akiyapata baada ya kujifungua.
“Kama unavyojua tena, ukiwa unanyonyesha lazima ule vizuri, supu na uji kwa sana, ndiyo maana nimeongezeka sana, lakini nimeshaanza mazoezi gym, baada ya muda narudi kwenye game nikiwa na mwonekano mzuri,” alisema msanii huyo.

TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment