Hakika Tabia ni ngozi....
Ni vigumu kuamini, lakini ukweli ni kwamba Mr.Nice ameirudia tena ile tabia yake ya Ukicheche na kuwapanga wanawake mithiri ya vyombo kabatini iliyomfanya afulie na hatimaye kuwa omba omba.....
Taarifa toka nchini Kenya ambako kwa sasa msanii huyo yupo huko ni kwamba, Mr. Nice kwa sasa alala baa akiwa amezungukwa na warembo kadhaa wanaojua kuzitumia pesa...!!!!
Nice amekuwa akionekana katika mitaa kadhaa ya jiji la Nairobi akiwa na "mabodigadi wa kike" ambao amejitolea kuwadhamini LUNCH, DINNER na MATANUZI mengine...
Hongera kwa moyo wa upendo Mr. Nice...Tunajua kwamba si vizuri tukakupangia matumizi ya pesa yako, lakini tunakuonea huruma maana historia yako tunaijua tangu enzi zile ulipokuwa ukitamba na nyimbo zako za "Kikulacho ki nguoni mwako" kabla ya kufilisiwa na akina dada wa mjini....
Credit:kenyan daily post
Credit:kenyan daily post
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment