KWANZA NAANZA KWA KUMPONGEZA SANA DIAMOND maana akiwa hajamaliza hata wiki mbili tangu atoke kwenye tour iliyofanikiwa ya Burundi na Congo, Diamond leo amesaini mkataba wa show nyingine kubwa ya kimataifa.
Kupitia Instagram, Diamond ameshare picha inayomuonesha akisaini mkataba wa show huku pembeni akiwepo mtu mwenye asili ya Asia ambaye huenda ndio promoter.
Haijalishi umekosea au upo sahihi, ujumbe umefika kaka!!. Waache wacheke, wataacha tu.
Hata hivyo, si vibaya pia kutumia lugha yetu ya kiswahili maana ujumbe hufika vizuri zaidi....Kingereza lugha ya watu...ni ngumu..!!!
MAONI YA WASOMAJI
- AnonymousMay 24, 2013 at 7:15 AMKujitia uzungu asokuwa nao kwani angeandika kiswahili angekuwa sio domo?shule hamna na tunajua kama vipi rudi shule baba hahahaReply
- Hahaaaaa! Hii noma kweli jamani kama hujui language za watu achana nazo! Kwani ungeandika kiswahili ungeishiwa dam? Au ungemwambia dem wako akuandike kingeharibika kitu? Nenda basi tuition jamani utakuja kuaibika zaidi ya hapo! Hongera kwa hilo dili.Reply
- AnonymousMay 24, 2013 at 8:13 AMi see no problem in his english he just used slang next time akisema "im finna come" si mtaanguka...its american slang by the way. sio lazima muelewe wote nyie like picture tu.Reply
- AnonymousMay 24, 2013 at 8:19 AMwasanii wengi bongo elimu zero, wala alikua hafanyi comed yn hapo ndo kamaliza elimu yake yote, we mwangalie hata interviw zake akisikia english kama anadata hivi anaanza kulamba domo lake.Reply
kiufupi apate muda wa ziada aende shule japo 2hours per day inatosha, asome hata english course tu ili aweze kuongea popote - AnonymousMay 24, 2013 at 8:23 AMna atakuja kuijua vizuri lugha mpaka mshangae kwa maana haoni aibu kuandika kile anachoona yupo correct , angekuwa Mjapan hapo mngesema ??Reply
- AnonymousMay 24, 2013 at 8:31 AMUmeanza? Usinibanii comment yangu. Mama ugonvi utakugeukua mwaya. Sijui kaandika kiswaahili masikini aende akapige brash mjini. Wenzake sikuhizi wanaweza. Penny nae anafanya nini au Kujishebedua tu. Mwenzio wema alikua anaongea nae kingeli sasa zamu yako peny kumalizia. MASIKINI.Reply
- AnonymousMay 24, 2013 at 8:31 AMrudi kwa wema akusaidie....sasa me nashangaa mbona cku ile ulimwandikia baby wako bdy wishez vzr au alikusaidia..pole mond ndo hasara ya kutokwenda xulReply
- AnonymousMay 24, 2013 at 8:58 AMMtu wakujifunza ni yeye me nasoma kiingereza cha form one Ulaya ila hawezi kunijaribu hata nipost kitu kwa kingereza naogopa Wabongo kunicheka lol! Ila wazungu wenyewe hawakijui kidhungu na hawajali wanatuma wakijuacho na hakuna wakuwacheka. Diamond endelea kutuma madongo ndo nakujifunza huko. Ila school nenda baba. Watu tumeshazeeka kukuzidi unakula unachotaka, gari unalotaka lakini bado mama wa watoto watatu nipo skonga ndo nasoma form one lol!Reply
- RosiliciousMay 24, 2013 at 9:14 AMHahahahahaaa chezea kidhungu www!!!!kwikwikwiiii hiyo iwekwe ktk maajabu saba ya dunia...i done did lol!!!chai jaba umetishaaaaa!!!!lol!!!mi nacheka tu hapa.kweli kidhungu kimekuja kwa bajaji kimekuja kidogo hakitutoshi watanzania woteeeReply
- RosiliciousMay 24, 2013 at 9:18 AMKwani lazima kuongea kidhunguuu!!!!jidai na lugha yako diamond.ona sasa umejidhalilisha jamani poleeee!!!!Reply
- AnonymousMay 24, 2013 at 9:25 AMna nyie maskini tu mwenzenu anatengeneza hela nyie haujui kithungu nyie mlliojua mmeenda wapi kama hamjaishia kuona opivha kwenye kumputa zenu.pyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuReply
- AnonymousMay 24, 2013 at 9:32 AMhahhahahaa Domooooo, ulikuwa umelewa ama?? hata mwanangu wa vidudu hawezi ongea sentensi broken kama yako, lol, kwan ukiongea kiswahili unaonekana mshamba ama???Reply
- AnonymousMay 24, 2013 at 9:39 AMHiyo ni American slang hajakosea chochote, nyie na ushamba wenu ndio mnakurupuka mnadhani kachemsha kumbe nyie mna limited knowledge ya hivi vitu. Please google urban dictionary uweke "done did it" jibu ni "a slang form of 'i've already done it'
used popularly by southerners...floridians. Muwe mnauulizaga kabla ya kukosoa mwe!!!
TUPE MAONI YAKO HAPA: