Licha ya kutoweka nini kilichompeleka mahakamani, leo Prezzo alitweet kueleza kuwa ana imani na mfumo wa mahakama ya Kenya na kwamba ukweli utabainika. “Thanks to everyone who wished me well. I have faith with the Kenyan judicial system. The tuth shall prevail.”
BK0-lgUCMAAGcQr
Kutokana na hatua hiyo, mtangazaji wa Clouds FM, Diva ambaye kwa mujibu wake mwenyewe ni mpenzi wa Prezzo amemtumia ujumbe huu Prezzo:
3e8012f6c39f11e290d222000a9e0851_7
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment