Hii Tabia ya Kutembea  na Waume au Wake za Watu  iishe jamani? Mbona Wanaume au wanawake Ma-Bachelor Wapo Kibao? Ukimwi nao hatuuogopi? Kuna Nini Huko Katika Ndoa? Uchunguzi uliofanywa  na mtandao huu  umebaini kuwa siku  hizi watu wanaolewa au kuoa ili kuifurahisha jamii tu.  Ndoa zetu zimejaa usaliti wa kila hali.Chanzo cha maovu hayo ni tamaa ya pesa, kutoridhika kimapenzi,  ushawishi wa kupandishwa  vyeo kazini   na mambo mengine kibao.






Picha kwa msaada wa mitandao mbalimbali
LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment