Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo  imemuachia  kwa dhamana  Mkurugenzi wa Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. Habari zilizotufikia hivi punde zimesema kuwa Lwakatare kaachiwa kwa dhamana ya fedha za kitanzania shillingi Millioni 10, Mkurugenzi huyo na mwenzake Ludovick Joseph wanakabiliwa na shitaka la kupanga njama ya kumdhuru kwa kumnywesha sumu Mhariri wa Gazeti la Mwananchi, Dennis Msacky.
LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment