“Unajua  mi nashangaa sana watu wanatoa wapi maneno wanayoandika, mimi sina  tatizo na Wema, wala siwezi kuwa na tatizo naye, wema amekuwa msaada  mkubwa kwangu, sa sijui nitagombana nini na wema, huo ni uzushi tuu  jamani, muwe mnatuuliza kabla ya kuandika” Alisema kajalaAlipoulizwa kuhusu ukaribu wake mpya na wolper alisema
“Wolper  nimekutana naye kwenye party ndo tukaamua kupiga picha, au siku hizi  sitakiwi kupiga picha na mtu mwingine zaidi ya wema? Wolper ni rafiki  yangu”
   
TUPE MAONI YAKO HAPA:
 
 
							 	
 
0 comments:
Post a Comment