Wapendwa naomba mnisaidie nina tatizo la kuwa na maji maji ukeni hasa wakati wa sex yani yananikera sana...nishaurini nifanyeje niondokane na hili tatizo maana nakosa raha inanifanya kupata taabu wakati wa sex nakosa raha i feel like humiliation kwakweli.
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment