Udaku zaidi: Hii ndo nyumba ya Masanja aliyojenga kijijini kwao. Wasanii wengi mara nyingi huwa wanajisahau sana kwenye suala kuwekeza lakini ni tofauti kwa Masanja ambaye kajenga hadi kijijini kwao kabisa na hili ndio geto lake. BIG UP SANA MWANAWANE. TUPE MAONI YAKO HAPA: LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI
0 comments:
Post a Comment