ballconrol
Mwanadada huyu akionyesha uwezo wake wa kuchezea mpira atakavyo tena sokoni nchini Tanzania!
Pengine kumekuwa na kiburi na kejeli nyingi kwamba wanawake wa Tanzania hawawezi kucheza mpira wa miguu yaani kabumbu maarufu kama soka. Hakika jambo hili si kweli, huyu ni mwanamke wa Kitanzania ambaye ameamua kuwaonyesha watu sokoni kwamba ana uwezo wa kuchezea gozi vyovyote anavyotaka!
Hakuna haja ya maneno mengi sanaaaaaaaaaaaaaa
LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment