Taratibu za mazishi ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Langa Kileo zimeanza rasmi ambapo leo asubuhi ameagwa na familia yake nyumbani kwao Mikocheni Jijini Dar. Waombolezaji wengine watapata muda wa kumuaga mwanamuziki huyo saa 7 mchana na mazishi yanatarajiwa kufanyika Makaburi ya Kinondoni jijini saa 9 alasiri.SOURCE: GPL LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment