Habarini za Asubuhi Madaktari na Washauri wa Jukwaa Hili.
Mimi ni msichana na ninaomba mnisaidie kwani ninasumbuliwa sana na Ashki za kujaamiana kila muda.
Tatizo hili lilinianza takribani miaka kama 3 iliyopita baada ya kutumia vidonge vya kupunguza unene.
Dawa hizo nilizinunua toka kwa rafiki yangu mmoja ambae aliniambia alitumiwa na kaka yake aliyekuwa Thailand.
Vina rangi ya kijani kibichi na muundo wake ni kama kidonge cha Ampicilin. Ni kwamba vilinisaidia kwani nilipungua ila sasa ukaibuka ugonjwa huu.
Naomba mwenye kufahamu tiba anisaidie kwa maana naadhirika mjini hapa….Yaani kila saa mimi huku chini nanyevuka hata nisiposhikwa…
Please nipe ushauri …
Joan Sekioni

TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment