Diamond akiwa Nigeria kwa ajili ya kazi yake ya ku-shoot video zake pia amepata nafasi ya kuhudhuria harusi ya Peter wa P Square ambayo ilihudhuriwa na wasanii wengine kama Iyanya, Hizi hapa ni video na picha kutoka kwa Diamond ambazo alipiga usiku wa harusi hiyo
TUPE MAONI YAKO HAPA: