BASI LA URAFIKI LILILOKUA LIKITOKA IRINGA KUELEKEA DODOMA LAPATA AJALI. Wakazi wa kijiji cha Ndolela Tarafa ya Isimani wilaya Iringa vijijini wakiangalia ajali ya Basi la abiria la Urafiki T 594 ABM lililoanguka kijijini hapo jana likitokea Iringa kuelekea Dodoma. TUPE MAONI YAKO HAPA: LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI
0 comments:
Post a Comment