Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka huu, Bblog yako imekuandalia orodha ya Music Videos za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi katika mtandao wa Youtube 2013.
Diamond Platnumz ndiye mfalme wa orodha hii, video yake ya ‘My Number One’ iliyowekwa Youtube September 2, 2013 imetazamwa mara 1,258,363, kiasi ambacho hakuna music video nyingine ya bongo iliyoweza kufikisha hata robo yake (kwa mujibu wa orodha hii).Like page yetu, bofya  hapa
Orodha hii imeangalia video zilizowekwa kuanzia January 2013 hadi leo, lakini imezingatia video ambazo angalau zimeweza kufikisha views kuanzia 10,000 na kuendelea. Kwa zile video ambazo zimewekwa na watu wengi youtube, tumechukua moja ambayo ndio ina views nyingi zaidi.

Hii ni orodha kamili ya Music Videos 30 za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi Youtube 2013.
1.Diamond Platnumz – My Number One
Imewekwa: September 2, 2013
Views: 1,258,363

2.Lady Jaydee ft. Professor Jay – Joto Hasira

Imewekwa: March 15, 2013
Views: 190,688

3.Lady Jaydee – Yahaya
Imewekwa: August 17, 2013
Views: 166,792

4.Rich Mavoko – One Time
Imewekwa: March 18, 2013
Views: 157,931

5.Keisha ft. Diamond – Nimechoka
Imewekwa: January 24, 2013
Views: 102,386

6.Nay Wa Mitego & Diamond – Muziki gani
Imewekwa: May 26, 2013
Views: 99,724

7.Ben Pol – Jikubali
Imewekwa: Jun 10, 2013
Views: 97,970

8.Shaa – Lava Lava
Imewekwa: March 28, 2013
Views: 86,814

9.Snura – Majanga
Imewekwa: June 20, 2013
Views: 86,271

10.Young Killer Msodoki & Stamina ft Quick Rocker – Jana na Leo
Imewekwa: August 14, 2013
View: 80,169

11.Madee – Sio Mimi
Imewekwa: April 22, 2013
Views: 74,893

12.Abdu kiba ft Ali kiba – Kidela
Imewekwa: June 20, 2013
Views: 68,717

13.Quick Rocka ft. Ngwair & Shaa – My Baby
Imewekwa: June 23, 2013
Views: 56,787

14.Mwana FA & AY- Bila Kukunja goti
Imewekwa: October 11, 2013
Views: 51,511

15.Vanessa Mdee – Closer
Imewekwa: June 12, 2013
Views: 51,174

16.Stamina ft Darasa & Warda – Mwambie Mwenzio
Imewekwa: September 3, 2013
Views: 44,281

17.Lucci & Jokate – Kaka Dada

Imewekwa: August 23, 2013
Views: 40,953

18.Shilole – Nakomaa na Jiji
Imewekwa: November 8, 2013
Views: 35,880

19.Ommy Dimpoz Ft. Vanessa Mdee – Me and You
Imewekwa: March 2, 2013
Views: 34,662

20.Shetta ft. Rich Mavoko – Sina Imani
Imewekwa: July 15, 2013
Views: 33,777

21.Feza Kessy – Amani ya moyo
Imewekwa: June 23, 2013
Views: 32,995

22.Shaa – Sugua gaga
Imewekwa: November 4, 2013
Views: 29,889

23.Snura – Nimevurugwa
Imewekwa: November 22, 2013
Views: 23,539

24.Roma – 2030
Imewekwa: November 1, 2013
Views: 23,210

25.Darasa ft. Winnie – Nishike Mkono
Imewekwa: January 16, 2013
Views: 21,057

26.Jux – Uzuri wako
Imewekwa: September 2 , 2013
Views: 18,533


27.Matonya – Sembule

Imewekwa: July 7, 2013
Views: 18,215

28.Timbulo – Sina makosa

TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment