Rapper Geez Mabovu anahitaji maombi. Hitmaker huyo wa Mtoto wa Kiume jana alizidiwa ghafla kabla ya show ya Iringa kwenye ukumbi wa Twista Night Club alikokuwa atumbuiza na rappers wengine wakiwemo Wakazi, Songa, Jan B na Chidi Benz.
“Tatizo bado halijajulikana ila alizidiwa kabla ya show na tukampeleka hospitali ya mkoa ambako bado amelazwa huko na hali yake si nzuri,” Songa ameuambia mtandao huu
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment