Katika kusherehekea sikukuu ya crismas,mambo yamekuwa ndivyo sivyo ndani ya jiji la mbeya,hawa ni kanga moko wakifanya yao ndani ya ukumbi wa E-Point uliopo ndani ndani ya jiji la mbeya maeneo ya sae stendi,mimi sisemi mengi tazama jinsi ambavyio wanamwaga ladhi
Haya ndiyo mambo yenyewe karibu kwenye klabu ya maraha E-point sae mbeya ni kila jumatano,jumamosi na jumapili
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment