Ni aibu sana mtu kunywa pombe mpaka kushindwa kujua kiwango chako cha kusema basi.Unalewaaa mpaka akili inagota njia ya kwenda kwako unaisahau,mbele huoni unaanguka mpaka kutembea unashindwa mwisho unabebwa kwa style hii kurudishwa kwako.
Kunywa kwa kiasi ili uweze kujimudu kwa style hii wahuni awachelewi kukufanyia vitu vya aibu.....mbayaaa(kwa sauti ya mchungaji Lwakatare)


TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment