Sio kweli kwamba kila mwanaume anajua kutongoza, kwa sababu kuna mwanaume mwingine anaweza akongea na demu mpya leo kamkubalia kirahisi ila kuna mwingine atapata vikwazo kibao.
Hizi ni sababu ambazo utazipata kutoka kwa mwanamke pindi unapomuhitaji kufanya nae mapenzi wakati unamwelekeza lengo lako ikiwa ni kukupima kama umedhamiria kumpenda:
- Nina boyfriend / mume / mchumba
- Ninaumwa (malaria/tumbo/kichwa/n.k.)
- Mama yangu mgonjwa
- Niko bize na kazi
- Nimeokoka nampenda Yesu! Mwanaume wangu ni Yesu tu!
- Wiki hii nina test (kwa wanavyuo)
- Mi sitaki mambo hayo, mpaka nimalize masomo nipate na kazi
- Mi bado mdogo
- Niko kwenye period
- Sitaki!!
- Nyumbani kwetu geti kali siwezi kutoka
- Wewe sio mwanaume wa type yangu (mfupi sana/mweusi sana/mweupe sana/huna hela/umezeeka n.k.)
- Mi sitoki/siongei na watu nisiowajua (strangers)
- Sijisikii kuwa na wewe / sikupendi!
- na kadhalika
Je ni mara ngapi umekwamishwa na mojawapo ya vikwazo kama hivyo hapo juu?
Ili kuepukana ivo vikwazo na uweze kufanikiwa inabidi ujiandae:
.>kiakili,
>kimuonekano
> usome mazingira
> kumsoma mwanamke.
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment