Kundi la Khanga Moja la Jijini Dar limepigwa marufuku kukanyaga Mkoani Bukoba kutokana na vitendo vya kifuska walivyovifanya huko.
Kwa mujibu mwananchi mmoja aliyejitambulisha kwa jina Rubangila aliimbia Xdeejayz kuwa kundi hilo limeacha laana kubwa sana mkoani humo kiasi cha kutia kinyaa hivyo wananchi mbalimbali wamesema kuwa hata siku moja wasithubutu kutia pua zao kwenye ardhi hiyo..
Ndembe ndembe khaaa! kweli laki si pesa |
Ndembe ndembe khaaa! kweli laki si pesa |
KITU ndembe ndembe...kanga mpya ailoi maji......
!! kit6u ndembe ndembe....!!
kitu mwake waacha weeee....agha ghaaaaaaaa .......laki si pesa
Haya mambo mengine tunapandishana presha tu mi nahemea juu juu tu hapa sijui ndio midadi?! Ebu naombeni maji ya kunywa. |
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment