Elizabeth Michael "Lulu " Amedai hajakutana na mtu yoyote kimapenzi toka atoke Jela ...Kwa mujibu wa chanzo chetu Muigizaji huyo nyota amesema licha ya Vishawishi vingi vya wanaume na wasagaji lakini hakuna alie bahatika kumnasa mpaka sasa
Inasemekana toka apatwe na Masahibu ya Kanumba Lulu ni Kama mtu Aliyeng'atwa na Nyoka kwa kuogopa hata kuguswa na Nyasi..
Lulu Ameshabadilisha number mara 13 na tatu kuepukana na Usumbufu .
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment