Mechi ya Nani Mtani Jembe yakamilika kwa timu ya Simba Sc kushinda magoli 3 ambapo magoli mawili yamefungwa kipindi cha kwanza na goli moja limefungwa kipindi cha pili na kukamilisha magoli 3 kwa timu ya Simba.
Miongoni mwa makosa yaliyoelezwa na wachambuzi wa soka ni kwamba Yanga ilijiamini sana.
Magoli ya Simba yalifungwa na Hamisi Tabwe (2) na Awadh Juma alitupia la tatu kwa upande wa Yanga Emanuel Okwi alitupia goli la kufutia machozi
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment