Msanii wa Hip Hop, Nay Wa Mitego usiku wa kuamkia leo ameibiwa vifaa vya gari lake aina ya Toyota Verossa lenye namba T 418 CGK vyenye thamani ya shilingi milioni 4 lililokuwa limeegeshwa nyumbani kwake.
IMG-20131220-WA0001
Nay ameiambia alifunguka kuwa jana aliliacha salama wakati anaenda kulala lakini alivyoamka leo asubuhi,akakuta limenyofolewa baadhi ya vifaa. Hizi ni picha za gari la Nay baada ya kuporwa baadhi ya vifaa vyake.
k
kp
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment