Mwanamziki kutoka kenya anayefanya vizurianayejulikana kama Jackson Makini kwa jina maarafu kama Prezzo hivi karibu ametinga Tanzania na kukutana na mashemeji zake kwa ajili ya kuandaa ndoa yao,pichani hapo juu ni masheji
zake.Licha ya hivyo msemaji wa familia amethibisha hayo kwa kusema
"According to our source,a family member,"Prez is not joking about this,this lady completely won his heart and Kenya in fact East Africa should be ready for talk of town wedding,can't disclose full details but take my word this wedding will turn necks and break hearts"
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment