Rais wa Marekani Barack Obama mnamo siku ya Jumatano alikiri kuwa alikatazwa kutotumia simu
aina ya iPhone kwa sababu za kiusalama, hii ilikuja kipindi ambacho alikuwa akifafanua ni kwa nini wakati mwengine huonekana akitumia simu kubwa aina ya Blackberry.“Siruhusiwi kwa sababu za kiusalama kuwa na iPhone,” Obama alilieleza kundi la vijana ndani ya White House kwenye tukio la kuhamasisha sheria ya kujali afya.
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment